Tamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha wakazi wa Mji wa Moshi
Sehemu ya umati uliofurika kwenye Tamash la Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika Mjini Moshi.
Msanii
Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki akipiga shoo kwenye tamasha la
Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Msanii Slivery Mujuni maarufu Mpoki akiwapa burudani
wakazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika hii ni sehemu ya
burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha
welcome pack.
No comments:
Post a Comment