WANANCHI KATIKA KONGAMANO LA CCM ZANZIBAR NA RAIS DR SHEI
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na Wananchi wa CCM na
Wanachama katika Kongamano maalum la maadhimisho ya sherehe za miaka
minne ya Ushindi wa CCM na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hafla iliyofanyika katika ukumbi
wa Grand Palace Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya
kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa
kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi
wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika
ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace
Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment