KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – ALPHAYO J. KIDATA AFANYA ZIARA MKOANI TANGA
Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata
akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye
Migogoro, hivi karibuni mkoani Tanga
Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata
katika picha ya pamoja, akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, Mipango na
Watathimini baada ya kusikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya
ardhi, hivi karibuni mkoani Tanga.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata
akisikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi kutoka kwa Maafisa
ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J.
Kidata, hivi karibuni akisikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya
familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga
No comments:
Post a Comment