NHIF KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI
Kaimu
Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi
wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza
kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa
Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman
Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano.
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba
akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya NHIF
Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi
kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha
Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF)
Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo , kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba.
No comments:
Post a Comment