Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni
rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum
Maulid Salum (kati kati) kufungua warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki
ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakwanza (kushoto)
Makamu wa Rais wa Chamber of Commerce Zanzibar Ali Aboud Mzee.
Katibu
Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum
akifungua mkutano huo unaofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt
Mbweni Wilaya ya Magharibi Zanzibar. Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria ufunguzi wa Warsha ya utaarishaji
mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakifuatilia ufunguzi wa mkutano huo Zanzibar Beach Resourt Mbweni. Baadhi
ya washirki wa warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Katibu Mkuu Afisi ya Rais
Ikulu na Utawala Bora alipokuwa akifungua warsha hiyo. Picha
ya pamoja ya washiriki wa warsha hiyo na Mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi
ya Rais Ikulu na Utawalaq Bora Salum Maulid Salum (wa katikati)
waliokaa. Waandishi
wa habari wakimuhoji Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, uwekezaji
na sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.
Abdullah Makame mara baada ya ufunguzi wa warsha hiyo. Dkt.
Abdullah Makame akiagana na Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala
Bora Salum Maulid Salum baada ya kufungua warsha hiyo Hoteli ya Zanzibar
Beach Resourt, Mbweni.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment