Picha ya marehemu
Makamu
Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga,
baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, nyumbani kwa, Balozi huyo jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment