Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya TPDC, Michael Mwanda (mbele) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
TPDC, James Andilile (nyuma yake), wakiongozwa na Polisi kuingia kwenye
gari kwa ajili ya kupelekwa rumande baada ya kamati hiyo, kuwakuta na
hatia ya kuidharau na kuinyima taarifa muhimu, wakati ilipokaa kama
Mahakama katika kikao chake hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),
Zitto Kabwe, akifafanua jambo wakati akiwahoji Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael
Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, James Andilile wakati
kamati hiyo, ilipokaa kama Mahakama katika kikao chake kilichofanyika
jana, Ofisi za Bunge, Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa
Kamati hiyo, Deo Filkunjombe.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC, Michael Mwanda (mbele) na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (nyuma yake), wakiongozwa na
Polisi kwenda kuingia kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa rumande baada
ya kamati hiyo, kuwakuta na hatia ya kuidharau na kuinyima taarifa
muhimu, wakati ilipokaa kama Mahakama katika kikao chake hicho.
No comments:
Post a Comment