Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati ambaye
aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana
na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption)
ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika
Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Sehemu ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutano
wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi
za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza leo
ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya
Malaika jijini Mwanza.
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaa
ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakini
yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala
Bora Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi
za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African
Forum Against Corruption) ulioanza leo ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya
tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment