Valerian Luzangi (kushoto) ambaye ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha kuzalisha
shampoo za binadamu na wanyama hasa mbwa cha L & V Intergrated Firm
akimuonesha Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha
Mushi, shampoo ambayo iko tayari kuuzwa. Tbl kupitia Promosheni ya
Safari Lager Wezeshwa ilimpatia mfanyabiashara huyo chupa 20,000 za
kuwekea shampoo. Kiwanda hicho kipo Mikocheni Dar es Salaam.
Valerian
Luzangi (kulia) ambaye ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha kuzalisha shampoo
za binadamu na wanyama hasa mbwa cha L & V Intergrated Firm
akimuonesha Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha
Mushi, shampoo ya kuoshea mbwa ambayo iko tayari kuuzwa. Tbl kupitia
Promosheni ya Safari Lager Wezeshwa ilimpatia mfanyabiashara huyo chupa
20,000 za kuwekea shampoo. Kiwanda hicho kipo Mikocheni Dar es Salaam.
Mmoja
wa wafanyakazi walioajiriwa na kiwanda hicho akiweka maji kwenye pipa
tayari kuchanganywa na dawa wakati wa kutengeza shampuu.
Mfanyakazi wa kiwanda hicho akiweka dawa kwa ajili ya kutengeza shampoo ya kuoshea nywere za binadamu
Wafanyakazi wakibandika lebo kwenye chupa zenye shampoo Chupa zenye shampoo zikiwa tayari
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Jamhuri Leither Product, Jamhuri Oisso (kulia),
akimuonesha Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi moja ya viatu
wanavyotengeneza katika kiwanda cha kushona viatu kilichopo Manzese, Dar
es Salaam kilichowezeshwa mashine na TBL,
Baadhi ya viatu vinavyotengenezwa katika kiwanda hicho
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jamhuri Leither Product, Jamhuri Oisso (kulia),
akimuelekeza fundi Amir Mbungi jinsi ya kushona viatu kwa kutumia
cherehani cha kisasa katika karakana yake iliyopo Manzese, Dar es
Salaaam. Cherehani hiyo alipewa tuzo na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
kupitia Promosheni ya Safari Lager Wezeshwa.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Jamhuri Leither Product, Jamhuri Oisso akionesha jinsi ya
kutumia mashine za kisasa kubandika soli ya viatu katika karakana
hiyo.mashine hiyo alipewa tuzo na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia
Promosheni ya Safari Lager Wezeshwa.
No comments:
Post a Comment