Kwa moyo mkunjufu nikukaribishe mpenzi msomaji wa safu hii ya Love and
Story, tunapata kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano.
Kwa wale tulioianza mada ya ishu siyo kuoa, ila unamuoa nani kwa vigezo gani wiki iliyopita, hakika wataungana nami kwamba ili uishi usije kujutia ndoa yako, yakupasa kuchagua mke au mume sahihi.
Tunaimalizia mada hii ambapo hakika itakuwa ni funzo kwa pande zote mbili, mwanaume na mwanamke.
Kwenye ndoa kuna wakati wa maradhi. Yawezekana ukaumwa wewe au akaumwa hata ndugu yako, je mkeo atakuwa tayari kukuhudumia. Mbaya zaidi ugonjwa wenyewe unaweza kuwa wa kutia kinyaa, atakuwa tayari kukuhudumia au kuwahudumia ndugu zako?

No comments:
Post a Comment