Jeneza
lenye Mwili wa aliewahi kuwa mwanamuziki mkongwe hapa nchini,Marehemu
Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es
Salaam tayari kwa mazishi.Marehemu Kalenga alifariki Dunia jana katika
hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.
Umati
Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga
wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni
ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Ankal
Michuzi wa pili kutoka kushoto akiwa na baadhi ya wanamuziki wakongwe
na vijana mara baada ya mazishi hayo yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam jana.
Picha kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment