Kulia
ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati
wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya
kwenda Mbeya
Wa
kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene na wa
pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike
ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana
Taifa
Taifa
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa kuombewa, Kuagwa na kusafirishwa
Mchungaji
Ephraim Mwakajwanga Akiwa anaongoza Ibada ya Kumuaga Mama mzazi wa
Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Bi. Twitikege Mlagha Mfumu leo katika
Hospitali ya Temeke
Baba
Mchungaji Ephraim Mwakajwanga wa kanisa la Moravian Kijichi akitoa Neno
la Kiroho (Mahubiri mafupi) wakati wa kuuaga Mwili wa Marehemu, Katika
Mahubiri hayo alisisitiza kuwa Duniani tunapita kila kitu kinabaki hivyo
ni vizuri kila mmoja ajiandae na kuwa mama ametangulia na sisi
tunafuata hivyo yatupasa kuwa tayari
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Abdalah Mrisho akitoa salam za
Rambi rambi kwa wafiwa ambapo Kulwa Mwaibale anafanyia kazi hapo.
Joachim Mushi akisoma utaratibu na kutoa maelezo mbalimbali wakati wa shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu.
Muwakilishi
kutoka Jambo Concept ambao ndio wachapishaji wa Gazeti la Jambo leo
ambapo Dotto Mwaibale anafanyia kazi huko Mkurugenzi Beny Kisaka wakitoa
salam za Rambi rambi ambapo walitoa mkono wa pole wa kiasi cha Shilingi
Laki tano.
Muwakilishi kutoka Skauti ambako Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale anafanyia kazi akitoa salam za Rambi rambi
Msemaji
wa kwa Niaba ya Familia Noah Mwakalasya akitoa neno la Shukurani kwa
niaba ya wanafamilia na kushukuru kwa moyo waliojitolea kuja
kumsindikiza mama yao mpendwa
Dada
Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu
Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana Taifa akisoma wasifu wa Marehemu
mama yao
Baba
Mchungaji Ephraim Mwakajwanga wa kanisa la Moravian Kijichi akitoa Neno
la Mbaraka wakati wa kumaliza ibada ya kumuombea Marehemu Mama yao
Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale kabla ya kuanza safari kuelekea Mbeya kwa
Mazishi.
Mdogo wa Mwisho wa akina Mwaibale Ambwene akitoa salam za Mwisho kwa Marehemu mama yake
Dada
Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu
Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana Taifa akitoa salam za Mwisho za
kuuaga mwili wa Marehemu Mama yao
Dotto Mwaibale Akiaga Mwili wa Marehemu mama yake
Kulwa na Dotto Mwaibale wakiuaga Mwili wa Marehemu mama yao
Kulwa Mwaibale akiwa ameshikiriwa na ndugu zake Baada ya Kuaga Mwili wa Mama yake
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Eric Shigongo na Mkurugenzi wa
blog ya Fullshangwe Bw. John Bukuku wakiwa wakiaga Mwili wa Marehem.
Muhidin Issa Michuzi Mmiliki wa Michuzi Blog akitoa Heshima za mwisho katika Mwili wa Marehemu
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Akitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu
Muhidin Issa Michuzi wa katikati na Abdalah Mrisho wa kwanza kulia wakimpa pole Dotto Mwaibale
Kulwa
na Dotto Mwaibale wakiwa katika ya pamoja na Baadhi ya waandishi kutoka
Jambo leo, Global Publishers, Habari Maelezo na vyombo vyengine vya
Habari
Baadhi
ya Bloggers wakiwa katika Msiba wa Mama yao Dotto, Kulwa na Nico
Mwaibale kutoka kushoto ni Geoffrey Adroph wa Pamoja Blog, Cathbert
Kajuna wa Habari na Matukio Blog na Joachim Mushi wa The Habari blog
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa katika Majonzi
Waombolezaji wakiwa katika Shughuli ya Kuuaga mwili wa Mama yao Dotto,Kulwa na Nico Mwaibale
******
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atuma salamu za Rambirambi kwa Familia ya Mwaibale Kwa kuondokewa na Mama Mzazi wao mpendwa Bi.Twitikege Mlagha Mafumu aliye fariki majira ya saa 5 usiku siku ya jumamosi wakati akikimbizwa hosipitali ya hindra kwaajiri ya MatibabuAkiwasilisha salaamu hizo kwaniaba ya Rais Jakaya Kikwete Meneja Mkuu wa Globabal Publishers Limited Abdalah Mrisho Ameweza kutoa pole kwa wafiwa wote kwa ujumla wakiwakilishwa na Kulwa,Dotto na Nico Mwaibale Hivyo Kuwa na Moyo wa uvumilivu katika kipindi kigumu kilicho wafika familia ya MwaibaleVilevile Aliweza simama Kwa niaba ya Wanahabari Abdalah Mrisho aliweza kufikisha salaamu hizo Kwa kuwapa pole familia na wote walio guswa na msiba wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki wa ndugu yetu mpendwa ambaye kwa sasa ni marehemu Bi. Twitikege Mlagha MafumuMwili wa ndugu yetu Mpendwa umeagwa leo Mchana majira ya saa 6 katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke na kuanza safari ya kuusafirisha kwa kwenda kumpumzisha mama mpendwa katika kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya
ambapo Anatarajiwa kuzikwa kesho Tar 17 alasil mwezi wa kumi na mbili (12) Mwaka huuTunapenda kutoa pole kwa wafiwa wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema peponi
Amen
No comments:
Post a Comment