RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed
Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani
Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara
la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano
wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.[Picha
na Ikulu.]
Mhasibu
Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala
yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar
(ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). [Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment