DK. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA UMEME KIJIJI CHA DONGONGWE KATI UNGUJA LEO
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali
Mbarouk wakati alipofika Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo
kuzindua Nishati ya Umeme,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment