TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, December 17, 2014
BENKI YA EXIM KATIKA TUZO ZA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2014
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Bw. Frederick Kanga akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda wakati wa tuzo za mwajiri bora wa Mwaka 2014, tukio lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na mpiga picha wetu.
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Bw. Frederick Kanga (wapili kushoto) akionyesha cheti baada ya benki yake kushiriki katika tuzo za mwajiri bora wa Mwaka 2014, zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na mpiga picha wetu.
Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakisikiliza kinachojiri katika tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2014, zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na mpiga picha wetu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment