Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad
Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri
zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho
yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar (SUZA) akitoa hutuba yake katika mahfali ya 10 ya
chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment