Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi
ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya
Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa
Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai uliofunguliwa na
Waziri Mkuu mjini Dubai Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la
kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al
Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi
nhini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Meneja mkuu wa
shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr.
Ahmed Al Mansour (kulia) wakati alipotembelea shmaba hilo akiwa katika
ziara ya kikazi nchini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment