
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema
amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na
suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
No comments:
Post a Comment