Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akitoa hotuba yake wakati akifungua semina ya siku mbili la Africa
Kongamanoambalo linafanyika katika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es
Salaam linalozungumzia maswala ya jamii ya Asili pamoja na kuangalia
haki zao na namna ya kuboresha maisha yao na mifumo ya chakula pia
kujiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za watu wa asili ambalo litafanyika Roma Italia Februari 2015.
Mwakilishi
wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural
Development), Bw.Francisco Pichon akisisitiza jambo wakati wa kongamano
hilo. wadau
mbalimbali kutoka Nchi za afrika wakiwa kwenye semina ya siku mbili
la Africa inayozungumzia maswala ya jamii ya Asili pamoja na kuangalia
haki zao na namna ya kuboresha maisha yao na mifumo ya chakula pamoja na
haki zao pia na kujiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na
jamii za watu waasili ambayo litafanyika Roma Italii Februari 2015. wadau

jamii za watu waasili ambayo litafanyika Roma Italii Februari 2015.
No comments:
Post a Comment