Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman
akizungumza na wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa kitabu cha
sheria za Kazi katika lugha nyepesi katika Hoteli ya Double Tree
Shangani Mjini Zanzibar. Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman na
Mkurugenzi wa (ILO) kanda ya Afrika Aeneas C. Chuma wakizindua kitabu
cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi, katika Hoteli ya Double Tree
Shangani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment