Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya
Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa
wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano
huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi
Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na
Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufungua Mkutano Mkuu wa
mwaka wa siku mbili mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) wa wanachama wa
Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa
na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”.
Mwenyekiti
wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja
akitoa neno wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya
Salum kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya
Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es
salaam.
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na
Mikopo cha Hazina wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha
Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama
hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba
20-21) jijini Dar es salaam.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina
mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho
uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21)
jijini Dar es salaam.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina
mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho
uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21)
jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment