Viongozi
wa Shirika la Elimu, Sanyansi na Utamaduni duniani UNESCO wakiwa na
wenyeji wao wilayani Ngorongoro walipotembelea miradi inayofadhiliwa na
shirika hilo wilayani humo(picha na Mahmoud Ahmad Ngorongoro)Wahab
Coulibaly Kiongozi wa Unesco alievaa miwani na mgororore wakiwa kwenye
hafla mojawapo katika matembezi ya ukaguaji wa miradi ya shirika hilo
kwenye wilaya ya Ngorongoro
Kijana
wa jamii ya kifugaji akiwa anawajibika katika kuwapatia malisho mifugo
kama alivyobambwa na kamera hii wilayani Ngorongoro hili ni mmoja ya
sifa ya hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro kuona mifugo ikiwa na
wanyamapori bila kuwa na msuguwano kila mmoja akitafuta mahitaji yake
wakiwamo wakazi wa jamii hiyo ya kifugaji.
Wakazi wa kata ya Ololosokwan wakicheza pamoja na wageni wakati wa hafla hiyo ya kutembelea miradi ya UNESCO:
Eneo
la Kreta kama linavyoonekana nyakati za Asubuhi kama lilivyokutwa na
kamera hifadhi ya ngorongoro huku watanzania wakitakiwa kupenda
kutembelea vivutio hivi kukuza utalii wa ndani na kuipatia serikali
mapato kwa maendeleo ya taifa Wakitoa
masaada wa pikipiki kwa serikali katika kuahakikisha kituo hicho cha
utafiti wa kisanyansi kinapata usafiri wa kufika maeneo mbali mbali kwa
urahisi na kurahisisha majukumu yao ya kila siku ya utafiti.
No comments:
Post a Comment