Afisa Uvuvi wa Halmashauri ya Manispaa ya
Ilemela mwenye T,shirti ya njano Fabiano akiwaongoza madiwani kutoka
Halmashauri ya Mpanda Mkoani Katavi kujifunga masuala ya uendeshaji wa
Mwalo hapo wanaeelekea kuangalia samaki jinsi wanavyohifadhiwa kisha
kusindikwa wasioze na kusafirishwasokono kwa walaji.
Picha zote na Kibada Kibada-Mwanza ziara ya Madiwani)
Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi mwenye Shati ya kijani
mpauko Yasini Kibiriti akiwaongoza madiwani wenzeka ziara ya Kutembelea
soko la samaki katika Mwalo uLIOKO Halmashauri ya Manispaa ya Ilemele
kujifunzanamna ya uendeshaji wa mwalo katika Halmashauri yake baada ya
kujengwa soko la kisasa Tarafa ya Karema Kata ya Ikola.
…………………………………………………………………………………..
Na Kibada Kibada.
Maadiwani wa
Halmashauri ya Mpanda Mkoani Katavi wafanya ziara mkoani Mwanza
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na kujifunza mambo mabali mbali ya
uendeshaji wa Mwalo wa Ikola iliopo katika Halmashauri hiyo.
Ziara hiyo pia i
kutoka Idara ya Mifugo na Uvuvi,wajasiliamali kutoka Kati ya Ikola
ulipojengwa mwalo wa Halmashauri ya Mpanda Mkoani Katavi ambao shughuli
zake bado kuanza kazi.
Katika ziara hioyo
walipokea taarifa za kuhusu uendeshaji mgawanyo wa madaraka na sura
nzima ya uongozi wa mwalo kwa kuwa watakuwa na uongozi wao kamili.
Soko hilo kwa mjibu wa
Afisa Uvuvi wa Hamalshauri ya Manispa ya Ilemera aalieleza kuwa
lilijengwa kwa ufadhi wa serikali ya japani na limegaharimu kiasi cha
zaidi ya shilingi Bilion Sita.
Na linahudumia watu wa aina mbalimbali ndani na nje ya Nchi.
Akaongeza kuwa
mahitaji ya dagaa ni mkubwa sana katka nchi za uarabu,hata hivyo
akaeleza kuwa katika soko hilo la mwaloni wapo wafanyabiarasha kutoka
Nchi ya Kidemokrasi ya Kongo DRC,Burundi,Kenya ,Uganda na Rwanda igawa
mahitaji ya soko la samaki na dagaa ni makubwa mno katika nchi za
wenzetu.
No comments:
Post a Comment