BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Balozi
 wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri 
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo 
alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, 
kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani 
na wizara. 
 
Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na 
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na wasaidizi wa
 balozi huyo, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara 
yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea 
Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na 
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment