Mkurugenzi
 Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza 
jambo katika kongamano hilo ambapo alisisitiza umuhimu wa Watendaji wa 
NHC kuongeza ubunifu katika kazi zao ili kuongeza ufanisi wa kazi zao.
Mkurugenzi
 Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi 
zawadi ya simu ya kisasa ya I Phone 6 kwaajili ya kuboresha ufanisi kwa 
Ofisa Mwandamizi Uendelezaji Biashara Fatima Rajabu ambaye aliibuka 
mshindi wa jumla wa maigizo ya vitendo kwenye kongamano
 la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli 
ya Naura Springs, Arusha. Kongamano linakusudia kuwajengea uwezo wa 
kiuongozi wa kusimamia uuzaji wa nyumba zinazojengwa na NHC katika 
maeneo mbalimbali nchini. Katika kongamano hilo, mada mbalimbali 
zinaendelea kutolewa ikiwemo kuwajali wateja, misingi ya uhusiano na 
ujenzi wa taswira ya Shirika na uwekezaji katika sekta ya usimamizi na 
uendelezaji wa Miliki.
Mkurugenzi
 wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe 
akitoa mada kwenye kongamano hilo. Shambwe alizungumzia hatua muhimu za 
kuibua miradi kuitekeleza na hatimaye kuiuza kwa ufanisi kwa wateja na 
kufuatilia malipo baada ya kuuza nyumba zinazojengwa maeneo mbalimbali 
nchini. 
Mhadhiri Mwandamizi na Mtalamu Mshauri wa masuala ya Uhasibu, Usimamizi wa Fedha na Menejimenti wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI) Felix Kariuki Kamau akitoa
 somo kwenye kongamano hilo ambapo alizungumzia kwa kina masuala ya 
usimamizi wa Fedha na kuboresha tafiti kabla ya kuwekeza katika maeneo 
mbalimbali, lakini pia michakato muhimu ya 
kuzingatia ili kuweza kuuza nyumba nyingi zaidi.
 Meneja
 wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John akielezea mikakati ya uendelezaji 
ujenzi katika mkoa wake mafanikio pamoja na changamoto.
Meneja
 wa NHC mkoa wa Kinondoni, Benith Masika akielezea mikakati ya 
uendelezaji ujenzi katika mikoa minne ya Shirika mafanikio pamoja na 
changamoto.
Meneja wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza kwenye kongamano hilo.
 Washiriki wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi NHC TAMICO, Danny Nkya akifuatilia kwa makini kongamano hilo.
 Mkurugenzi
 mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu alipata nafasi ya kujadiliana na 
 mameneja na watumishi wa shirika la Nyumba la Taifa waliohudhuria 
kongamamo la Arusha kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazowakabili 
 .
 Wakurugenzi
 wa Shirika la Nyumba la Taifa Felix Maagi na Haikamen Mlekio 
wakifuatilia mada na mijadala inayoendelea katika kongamano hilo 
 Washiriki wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
  Mkurugenzi
 mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu alipata nafasi ya kujadiliana na 
 mameneja na watumishi wa shirika la Nyumba la Taifa waliohudhuria 
kongamamo la Arusha kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazowakabili 
 .
  Mkurugenzi
 mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu alipata nafasi ya kujadiliana na 
 mameneja na watumishi wa shirika la Nyumba la Taifa waliohudhuria 
kongamano la Arusha kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazowakabili 

Wakurugenzi wa NHC, DAvid Shambwe, Issack Peter na Raymond Mndolwa wakijadiliana jambo nje ya kongamano hilo 
  Mkurugenzi
 mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu alipata nafasi ya kujadiliana na 
 mameneja na watumishi wa shirika la Nyumba la Taifa waliohudhuria 
kongamano la Arusha kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazowakabili .
 Mhadhiri wa  Chuo Kikuu cha
 Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Jackson Kilimba akitoa 
mada kuhusiana na majadiliano, michakato yake na namna ya kuitekeleza.
Washiriki wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
 Washiriki wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
 Washiriki wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
No comments:
Post a Comment