| Mwenyekiti wa 
Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa pili kushoto), akiuangalia 
mkono wa Adam Robert (aliye vaa flana ya njano) alipo tembelea kituo cha
 watu wenye   Albinizim mwishoni mwa wiki Dar es Salaam, ambaye alikatwa
 kidole katika kijiji cha Nyaruguguna Geita na kupelekwa Vancouver, 
Canada kwa matibabu. Adam Robert alipandikizwa  kidole cha kati cha Mguu
 wa kulia  kwenye kiganja chake cha  mkono wa  kulia kuwa kidole gumba, 
wakwanza ni Mariam Staford kushoto ambaye alitokea kijiji cha Ntobeye 
Wilaya Ngara Karagwe na Kurwa Lusana toka kijiji cha mbizi Kahama   (kulia)   (PICHA NA KHAMISI MUSSA).  | 
No comments:
Post a Comment