Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na 
Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya 
Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na 
Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 
katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi
 ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada 
kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na 
Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kwa lengo la kuuboresha 
muswada huo wakati wa kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya
 Kulevya kilichofanyika 22/01/2015 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere 
jijini Dar es salaam. 
 
Baadhi
 ya wajumbe toka Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa makini kikao cha 
Kamati ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kilichofanyika katika 
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kuhusu Muswada wa Sheria 
ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014.

 (PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO, DSM)
No comments:
Post a Comment