TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 21, 2015

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.

unnamed (27)
Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho katikati akisindikizwa na Askari wake kutoka katika ukumbi wa Baraza Baada ya kuhairishwa kwa kikao hicho kilichoanza  leo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
unnamed (28)1Waziri wa Miundo mbinu na mawasiliano Juma Duni Haji kushoto akiwa pamoja na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nasor Ahmed Mazrui nje ya ukumbi wa Baraza la Wawaklilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. unnamed (28)2Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma akibadilishana mawazo na mwakilishi wa kuteuliwa nafasi za wanawake Wanu Hafidh Ameir nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbwenu nje ya mji wa Zanzibar.
unnamed (28)4Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Saleh Nasor Juma wakizungumza jambo na Mwakilishi wa Jimbo la Mji mkongwe Ismail Jussa Ladhu nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
unnamed (28)6Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawabora DKT Mwinyihaji Makame kulia akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Saidi Hassan Saidi nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment