Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh 
aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake 
wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh 
aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake 
wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akiagana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh  baada ya
 kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa amemaliza 
muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment