Kaimu
 Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, 
Felix Maagi akiwakaribisha watoa maada mbalimbali kwenye kongamano hilo.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya Menejimenti wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Peter Kalunda Kiuluku akitoa mada kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya Biashara wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Christine Magunje akitoa mada kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.
 Mtaalamu
 Mshauri wa masuala ya Biashara wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na 
Kusini mwa Afrika (ESAMI), L.W Malisa akifafanua jambo kwenye kongamano 
la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya
 Naura Springs, Arusha.
 Washiriki
 mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika 
hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
 Washiriki
 mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika 
hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
  Washiriki
 mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika 
hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima
No comments:
Post a Comment