Afisa
 wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za 
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri  akitoa maeklezo kwa 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) 
wakati alipotembelea banda la SUMATRA katika maonesho ya kuazimisha 
miaka 40 tangu kuanzishwa kwa chupo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) 
kwenye viwanja vya chuo hicho jana. Kushoto ni Afisa wa Baraza hilo la 
Sumatra, Doatha Kabyemela.
Naibu
 Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) akifurahia jambo na
 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Usafirishaji  (NIT) Mhandisi Priscilla 
Chilipweli baada ya kupokea maelezo ya kina na yanayoeleweka ipasavyo 
kuhusu shughuli za baraza hilo kutoka kwa  Afisa wa Elimu kwa Wateja 
kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na 
Majini, Nicholous Kinyariri. 
Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
 Wananchi wakipata elimu katika baraza hilo. 
 Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
 Afisa
 wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za 
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akielezea takwimu za 
utafiti uliofanywa na baraza. 
Afisa
 wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za 
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa elimu kwa 
vijana. 
No comments:
Post a Comment