Mkuu
 wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka
 kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais 
wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo jijini Dar es salaam 
wakati wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50. Kulia ni Waziri 
wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.
Makamu
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka
 kwa  Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya 
Biashara CBE kampasi ya Dar es salaam juu ya namna chuo hicho 
kinavyowaandaa kuitumia elimu wanayoipata chuoni hapo pindi 
watakapomaliza masomo yao. 
Makamu
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akimuuliza swali Bi. 
Esther  Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara 
CBE kampasi ya Dar es salaam  alipotembelea banda la maonesho la 
wanafunzi wa Chuo cha CBE leo jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za 
 kilele cha miaka 50 ya chuo hicho.
Makamu
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifafanua akifafanua 
jambo alipotembelea banda la maonesho la Idara ya Mizani na Vipimo la 
Chuo cha CBE leo jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za  kilele cha 
miaka 50 ya chuo hicho.Kushoto ni Mwalimu wa Idara ya Mizani na Vipimo 
wa Chuo hicho Bw. Faraja Nyoni.Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.
No comments:
Post a Comment