Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith 
Satano Mahenge (wa pili kulia), akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga 
Bw. Magalula Said Magalula (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa 
Mkurugenzi Mzalishaji wa kiwanda cha Tanga Sementi Bw. Ben Lema, jinsi 
wanavyopima sementi kuangalia ubora wake kabla ya kusambaza kwa 
watumiaji na jinsi wanavyojitahidi kulinda Mazingira kiwandani hapo.
Sehemu ya Bandari ya Tanga ikionesha kisiwa cha Toten kilichopo Mkoni hapo ambacho kipo hatarini kuzama. 
Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith 
Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya
 Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga 
wakielekea kupanda Boti  kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko 
hatarini kuzama.
Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith 
Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani 
Tanga. 
Kaimu
 Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi akitoa maelezo kwa 
Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe.Dkt.Injinia 
Binilith Satano Mahenge,kuhusu umuhimu wa kisiwa hicho. 
No comments:
Post a Comment