TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, January 22, 2015

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA YATOA ELIMU KWA VIONGOZI WA SACCOS ZA WAJASIRIAMALI MANSIPAA YA ILALA

unnamed (60)Mkugenzi wa CHF Bima ya Afya, Bw.Rehan Athumani (katikati) akifungua semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa Ushirika Mansipaa ya Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF Bima ya Afya, Costantine Makala. unnamed (61)Afisa Matekelezo wa NHIF, Godfrey Tumaini akiwakilisha mada yake kuhusina mpango wa kikoa ambapo amesema mpango huo ni mpya na umeanzishwa kwa malengo ya kukidhi haja ya kundi la watu wa kati ambao hawawezi kujilipia bima kama watu binafsi na hawaridhiki kujiunga katika mfumo wa CHF katika mfuko huo. unnamed (62)Afisa Matekelezo NHIF Mansipaa ya Ilala, Hipoliti Lello akisisitiza jambo wakati wa semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa wanachama waweze kujiunga na mfuko huo. unnamed (63)Afisa Matekelezo na Uratibu NHIF, Catherine Masinisa akielezea sheria za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati wa semina hiyo.
unnamed (64)Mshiriki wa Semina hiyo, Juliana Richard akichangia mada. unnamed (65)Viongozi wa SACCOS wakipitia vipeperushi. unnamed (66)Viongozi mbalimbali wa SACCOS wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). unnamed (67)Viongozi mbalimbali wa SACCOS wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

No comments:

Post a Comment