Mkuu
 wa Mkoa wa Katavi Dkt Ibrahimu Msengi  akipata maelezo kutoka kwa 
Mshauri wa kilimo wa mkoa Mr. Nyoni  juu ya mbegu ya mahindi  aina ya 
Pioneer inayozalishwa na kampuni  By Treda ya mkoani Arusha  mbegu 
zilizopandwa kwenye  shamba la waziri mkuu na hazijaota.
Wakulima
 wakiwa shambani, shamba darasa la waziri mkuu walipokutana na mkuu wa 
mkoa kumweleza sakata la mbegu kushindwa kuota baada ya kupandwa hali 
ambayo walimweleza Mkuu wao wa Mkoa kuwa huenda wakakumbwa balaa la njaa
 kwani hata wakipanda muda huu mvua ziko hatarini kukatika kutokana na 
msimu wa mvua katika ukanda huu .
(Picha zote na Kibada Kibada)
No comments:
Post a Comment