Nape Nauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiongozana na Vuai 
Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu Zanzibar mara baada ya kuwasili ofisi kuu ya 
CCM Kiembesamaki mkoa wa Mjini Magharibi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na 
wajumbe mbalimbali na wa wana CCM wakati alipowasili wilaya ya 
Kiembesamaki wilaya ya Dimani mkoa wa Mjini Magharibi leo.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yusuf Mohamed Yusuf 
akimkaribisha Ndugu Abdulrahman Kinana ili kuongea na wajumbe wa 
halmashauri ya wilaya ya Dimani.
  Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, kulia Vuai Ali 
Vuai Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na kushoto ni mjumbe wa Kamati Kuu ya 
CCM Bi. Khadija Abood wakiwa katika mkutano huo.
 Mjumbe wa Kamati kuu wa CCM Mh. Balozi Seif Ali Idd akizungumza katika mkutano huo wa ndani.
![]()  | 
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe hao hawapo pichani. | 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na 
Kirtkumar Dave Meneja wa Kiwanda cha maziwa cha Azam kilichopo Fumba 
Unguja wakati alipotembelea kiwanda hicho na kukagua shughuliza 
uzalishaji kiwandani hapo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya Meneja wa kiwanda cha maziwa cha Azam Bw.Kirtkumar Dave 
 SEhemu ya mitambo ya uzalishaji wa kiwanda hicho
 Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimueleza jambo Katibu Mkuu wa CCM kuhusu uzalishaji wa kiwanda hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia baadhi ya maziwa yaliyozalishwa kiwandani hapo.
 Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akishiriki kupatkia katoni za maziwa kwenye kiwanda hicho.
 Meneja wa kiwanda hicho Kirtimar Kumar akimzawadia  katoni ya maziwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
![]()  | 
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.akipokelewa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM wakati alipotembelea chuo Sayansi ya Bahari Shakani | 
![]()  | 
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. akizungumza na baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho. | 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki 
kusafisha eneo la chuo hicho kinachoendelea kupanuliwa , kulia ni 
Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM na kushoto 
ni Ndugu Vuai Ali Vuai Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua majengo ya
 chuo hicho huku akiongozwa na Profesa David Mfinaga Naibu wa Makamu 
Mkuu wa chuo cha UDSM katikati ni Desiderius Masalu Mkurugenzi wa 
Taasisi ya Sayansi za Bahari.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka chuoni hao.
 Msafara wa Katibu Mkuu ukikatiza katika msitu.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda 
mikoko huko Fumba kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi 
Yusuf Mohamed Yusuf.
 Hapa akishiriki zoezi la uhifadhi wa Kaa
 Akizindua Gari la wagonjwa Ambulance 
 Wananchi na wana CCM wakinyanyua mikono yao juu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Magereza..
 Balozi Ali Karume akiwahutubia wananchi katika mkutano huo
 Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo kwenye viwanja vya  Magereza.
 Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Magereza Zanzibar
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaongoza wana 
CCM wapya kula kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao zauanachama





























No comments:
Post a Comment