PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA RUSSIA
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya 
Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa 
Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto 
ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
 Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu 
 (kulia)  akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika 
(AfDB), Bibi Tonia  Kandiero baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Dr. 
Nagu jijini Dar es salaam  Januari 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri 
Mkuu) 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment