TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 5, 2014

Airtel yatoa vifaa vya michezo kwa chuo kikuu cha Dar es saalam

SONY DSCMeneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akikabidhi jezi kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO), Stanry Julius, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
 SONY DSC
ddddd6Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya kifurahia jezi baada ya kukabidhiwa na Airtel Tanzania msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto), Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
SONY DSCMeneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akikabidhi kikombe kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO), Stanry Julius (kushoto), Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.
SONY DSCSONY DSCMeneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (wa pili kushoto) akimkabidhi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo hicho (DARUSO), Stanry Julius (kushoto), Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa tatu kushoto) na Mratibu wa Michezo wa Chuo hicho, Dk. Crispian Maro.

No comments:

Post a Comment