OFisa
 Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, (kulia), akizungumza na 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr.Shaaban Mwinjaka katika 
maadhimisho ya miaka 70 ya Kimataifa ya safari za Anga Duniani 
yaliyoanza jana mpaka Desemba 5 mwaka huu katika Viwanja vya Makao Makuu
 ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kushoto ni 
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka 
hiyo Charles Chacha. 
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr. Shaaban Mwinjaka (wapili kulia), 
akizungumza na Ofisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro katika 
maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa Anga yaliaonza jana ambapo 
yatamalizika Desemba 5 mwaka huu katika Makao Makuu ya Mamlaka ya 
Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kutosho ni  Makamu 
Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo 
Charles Chacha. 
Baadhi ya wananchi walioyembelea banfa la Fastjet katika maadhimisho  ya
 miaka 70 ya Usafiri wa Anga yaliaonza jana ambapo yatamalizika Desemba 5
 mwaka huu katika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar 
es Salaam 
 
 
 OFisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro
 akielezea baadhi ya mambo yaliopo katika vipeperushi vya kampuni hiyo 
ya ndege vikielezea huduma muhimu za usafiri kwa kampuni ya Fastjet.

No comments:
Post a Comment