Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy  Mapunda  wakiwa
 wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia 
katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa 
maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana 
Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa
 kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao 
walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu ailaze roho ya marehemu 
mahali pema peponi AMEN. 
Mwili wa narehemu Elias Anthony ukiombewa kabla ya kuingizwa kanisani. 
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy  Mapunda pamoja na waombolezaji wengine wakiombea mwili wa marehemu. 
Mwili wa marehemu Elias Anthony ukiingizwa kanisani  
Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy  Mapunda  wakiongoza waombolezaji kuingia kanisani. 
Waombolezaji wakiwa kanisani 
Kulia
 ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi, 
Meneja masoko wa Bodi hiyo Geofrey Meena wakishiriki katika misa ya 
mazishi katika kanisa katoliki Mikocheni 
Baadhi ya maofisa wa bodi ya utalii wakiwa katika misa hiyo 
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi 
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi 
Teddy  Mapunda  akiwa
 na mama mkwe wake kushoto mama Agness Marangu tayari kwa kushiriki 
mazishi ya marehemu Elias Anthony Mapunda katika makaburi ya Kinondoni 
jana. 
Waomboleza wakibeba jeneza la mwili wa marehemu Elias Tayari kwa mazishi. 
 
 
 
Waombolezaji wakiwa makaburini 
Teddy  Mapunda  na waombolezaji wengine ndugu jamaa na marafiki wakiweka mchanga kaburini 
Nesto   Mapunda  kaka wa Marehemu Elias Mapunda akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Elias. 
Waombolezaji
 wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya Marehemu Elias Anthony 
Mapunda yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana.
No comments:
Post a Comment