Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilai akizungumza na
 waumini wa Dini ya kikiristo wakati washerehe za kutabaruku Kuweka 
wakfu, kanisa la Kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la kondoa  jana 
4/12/2014 iliofanyika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.
Makamu
 wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika 
picha ya pamoja na Maaskofu na mashekh wa Wilaya ya kondoa mkoa wa 
Dodoma Mara baada ya kuzungumza na waumini wa Dini ya kikiristo jana 
tarehe 4/12/2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya 
Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiagana na Askofu mkuu wa Kanisa 
katoliki Tanzania Kardinali Polcarp Pengo wakati wa Sherehe za 
Kutabaruku kuweka wakfu ,kubariki kanisa lakiaskofu la roho Mtakatifu la
 jimbo la kondoa iliofanyika wilayani kondoa mkoa wa Dodoma juzi tarehe 
4/12/2014                                                                                     
 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipongezwa na
 Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la kondoa Baba  Bernadin Mfumbusa mara 
baada ya kuzungumza na waumini wa kanisa la kiaskofu la Roho mtakatifu 
jimbo la Kondoa juzi 4/12/2014 iliofanyika walaya ya kondoa mkoa wa 
Dodoma.




No comments:
Post a Comment