Bondia Rajabu Omari kushoto 
akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao 
uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi 
ya kwanza.
Bondia Mustafa Dotto akioneshana
 umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao 
uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto 
alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huo.
Bondia Shedrack Ignas kushoto 
akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha 
mkoa wa Pwani Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu .
Bondia Zumba Kukwe kushoto  
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Sweet Kalulu wakati wa 
mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika 
kwa sare .
No comments:
Post a Comment