Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani 
Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar leo.[Picha na 
Ikulu.] 
 
 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina 
Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]  
 

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akifuatana na      Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina 
Salum Ali baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar 
.[Picha na Ikulu.]  

No comments:
Post a Comment