MHE  ASUMPTA  MSHANA
Miongoni mwa wabunge  wa ccm ambao walichangia mambo  ya kwenye 
sakata la ESCROW ni huyu mama wenzake wanachangia kwa uchungu pesa zetu 
zimeibiwa yeye analeta ushabiki usiyokuwa na maana kwenye ishu za msingi
 , ni  aibu  san  kwa  mama  kama  huyu  kusimama  na   kutetea  wezi 
 wakati jimbo  lake  la  NKENGE  linakabiliwa  na  umasikini  wa  kutisha.
LAKINI TAZAMA HALI HALISI YA JIMBO LAKE JINSI WANANCHII WAKE WANAVYOKABILIWA NA UMASIKINI MKUBWA TENA WA KUTISHA LAKINI BILA AIBU BADO ANAPATA KIBURI CHA KUSIMAMA KUWATETEA MAFISADI
LAKINI TAZAMA HALI HALISI YA JIMBO LAKE JINSI WANANCHII WAKE WANAVYOKABILIWA NA UMASIKINI MKUBWA TENA WA KUTISHA LAKINI BILA AIBU BADO ANAPATA KIBURI CHA KUSIMAMA KUWATETEA MAFISADI

No comments:
Post a Comment