Ustadhi Mohamed Juma Issa (kushoto) akisalimiana na  Rais wa Zanzibar 
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM 
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  baada ya kusoma Quran Tukufu wakati wa 
 Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  
leo   katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  akimalizia ziara za 
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti 
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea risala kutoka kwa msomaji
 Mwanajuma  Hassan  Kaduara katika wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti 
wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa 
Fidel Castro akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi 
Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.] 
Sheikh
 Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa tafsiri ya Quran iliyosomwa na 
Sheikh Mohammed Juma Issa (hayupo pichani) katika kufungua Mkutano wa 
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  uliohutubiwa  
na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo 
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika ukumbi wa Chuo 
cha Fidel Castro  leo akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi
 Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.] 
Wasoma
 Utenzi Saada Mohamed Zahran na Asha Mohamed Ng’wali wakihani utenzi wao
 katika wa  Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya
 Mkoani  leo   uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  chini
 ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein 
akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini 
Pemba,[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti
 wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame Haji akimakaribisha Naibu Katibu 
Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na 
Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika 
ukumbi wa Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar 
Dk.Ali Mohamed Shein  akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha 
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.] 
No comments:
Post a Comment