
Mastaa wawili Hamisi Mandi maarufu kama B12 na Kajala Masanja ambao 
wote ni marafiki na wote wawili na share siku moja ya kuzaliwa. Leo 
ndiyo ilikuwa birthday yao ambapo Kajala Masanja alianza kwa kupeleka 
misaada kwa watoto yatima na baadaye kuungana na B12 kwenye party 
waliyoandaliwa na Wema Sepetu nyumbani kwa Wema. Kutoka bossngasa.com 
tunawatakiwa maisha mema na marefu wote wawili na hizi hapa ndiyo picha 
zenyewe ambapo shughuli nzima ilitanguliwa na futari. CONTINUE READING

Kutoka Fish Crub anaitwa Lamaar

Kajala Masanja,Zamaradi Mketema,Wema Sepetu

Hii keki ndiyo iliyotia fora kwenye party
![]()  | 
| Add caption | 
Keki hii kutoka kwa Wema kwenda kwa Kajala
![]()  | 
| Add caption | 
Kajala Masanja aliletewa keki za kutosha siku hii

Hawa ndiyo watoto waliozaliwa siku hii

Beautiful people


Hapa ilikuwa ni lights,camera then Instagram


Wema akiongoza wimbo wa happy birthday


B12 akimlisha keki mfanyakazi mwenzake wa Clouds media group Zamaradi Mketema










No comments:
Post a Comment