TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 3, 2014

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya atunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration) Chuo kikuu huria

IMG_6174
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akiwa na wahitimu wenzake kulia ni  Maura Mwingira na kushoto ni Jane Maswe maara baada ya kuhitimu  masomo yake ya elimu ya juu  na kutunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. unnamed 
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotyaakipongezwa na ndugu, jamaa na marafiki mara baada ya kuhitimu mafunzo yake katika Chuo Kikuu Hiria cha Tanzania.
unnamed2 
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akihojiwa na Mwandishi wa habari wa ITV Bi. Ida Mushi mara baaya ya kuhitimu eilimu yake.
……………………………………………………………………………………………….
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha Rose Migiro, ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria.
Katika mahafali hayo, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Wengine ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Profesa Samuel Wangwe.
ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani. Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha Rose Migiro, ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria. Katika mahafali hayo, mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. Wengine ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho Profesa Samuel Wangwe.

No comments:

Post a Comment