Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania 
(TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha
 Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa afya
 za madereva, wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani 
iliyofanyika Novemba 22 hadi 28 katika vituo vya mikese, mkoaniMorogoro.
 Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.
  Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna 
Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa  Ripoti ya
 Upimaji wa afya za madereva,
 Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo
No comments:
Post a Comment