Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo 
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisalimiana 
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika 
viwanja vya Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na 
Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake 
chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama 
cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  
kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara 
ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.] 
Mwenyekiti
 wa CCM Mkoa wa  Kusini Pemba Mshindo Hamad Mshindo (kushoto) akifuatana
 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo 
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  mara alipowasili katika
 Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina 
na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake
 chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]    
Rais 
wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu 
wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba 
(kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa katika Ukumbi
 wa Mikutano wa Chuo cha  Fidel Castro Mkutano wa  Viongozi wa Mashina 
na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake
 chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]
Wajumbe
 wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakinyanyua mikono juuu 
kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa Zanzibar na   
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo 
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika
 ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini 
Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama leo,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
 ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano
 wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake 
Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
 Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika 
ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini 
Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo,[Picha na 
Ikulu.] 

No comments:
Post a Comment