Mwanamitindo Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi 
wa habari wakati wa kutangaza  upeperushwaji wa bendera ya Tanzania 
katika nchi ya mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju 
Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni 
mwanamitindo Vivian Williams ambaye anafanya shughuli zake za 
uwanamitindo  Barcelona  nchini Spain
Mwanamitindo anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein
 Vivian Williams kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio 
wake nchini kwa ajili ya kushiriki maonesho ya Swahili Fashion  Week 
yatakayoanza ijumaa ya Desemba 5 mpaka 7 kulia ni Mwanamitindo Matukio 
Chuma
Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita katikati akiwa na wanamitindo
 anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein Vivian Williams na Ieva Stropule anaeishi ujerumani
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa 
ngumi nchini Rajabu Mhamila kushoto  akipokea zawadi kutoka kwa 
mwanamitindo Matukio Chuma iliyotoka kwa Manju Msita
No comments:
Post a Comment